News

Simba ina mlima mgumu wa kupanda ili iweze kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika baada ya leo kupoteza kwa mabao 2-0 ...
Hata hivyo, kwa baadhi ya familia, kauli hiyo imekuwa kama “alama ya mwisho ya amani” kabla ya ndoa kusambaratika.
Kikao hicho kitafanyika katika kipindi ambacho misukosuko inayoikumba Chadema, suala kujivua uanachama huenda likatawala ...
Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya ...
Mara ya mwisho kwa Palace kucheza fainali ya michuano hii ilikuwa msimu wa 2015-16 ambapo ilikutana na Man United na ...
Hakuridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu akakata rufaa Mahakama ya Rufani Tanzania, akiegemea sababu 19 kuishawishi mahakama ...
Jeshi la Polisi linamshikilia Hassan Hassan (50), Mkazi wa Mkoa wa Tanga baada ya kumkamata akiwa na dawa za kulevya aina ya ...
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na TIC hivi karibuni viwanda ndiyo sekta kinara kwa kuvuta uwekezaji ambapo zaidi ya Sh10.79 ...
Mwanza. Polisi mkoani Mwanza limemuachia kwa dhamana Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ huku uchunguzi dhidi ya tuhuma ...
Mwenda, mkazi wa Mbagala anadaiwa kushirikiana na mtoto wake wa kiume, kumuua Beatrice Magombola, ambaye ni binti yake wa ...
Mdude alivamiwa na kupigwa nyumbani kwake mtaa wa Iwambi jijini Mbeya na watu wanaosadikiwa kuwa Askari Polisi tangu Mei 2, ...
Baadhi wamekwenda mbali zaidi na kusema, pamoja na kutoonekana majukwaani, hakuonekana hata katika msiba wa Makamu wa Kwanza ...