News

Picha mbalimbali za wanafunzi wanaotarajiwa kwenda kusoma nje ya nchi wakipewa elimu kuhusu kukamilisha taratibu kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Global Education Link Abdulmalik Mollel. Habari Kuu ...
Wasanii tunasema “msanii namba moja ni Mungu Mwenyezi”. Ukiacha uumbaji, yeye anao uwezo wa kubadilisha kitu chochote kwa muda uleule. Kwa mfano anavyoziachia mvua za Dar es Salaam, ...
Vyama vya msingi vya mkoa wa Pwani vinavyosimamia ukusanyaji wa zao la ufuta vimetakiwa kuorodhesha kwa usahihi majina ya ...
Huwezi kupanda mazao bila mbolea ya phosphorus. Ili kuipata mara nyingi wakulima ,hutegemea mbolea hiyo ambayo ni ghali,na ambayo mara nyingi haipatikani. Lakini kunaweza kuwa na njia bora na ...
Ukatili waongezeka, msaada wapungua Kwa mujibu wa UNFPA, maadhimisho ya mwaka huu yanafanyika wakati ambapo visa vya ukatili wa kijinsia vinavyohusiana na migogoro vinaongezeka duniani. Hali hii ...
Mfumo wa huduma za ukunga WHO inasema wakunga duniani kote hufanya kazi kwa bidii kuhakikisha huduma endelevu kwa wanawake, ikiwa ni pamoja na afya ya uzazi, ujauzito, kujifungua na baada ya ...
Katika misimu hiyo mitatu, Mzize amecheza Dabi ya Kariakoo tatu kwenye ligi ambapo ya kwanza ni ile ya Novemba 5, 2023 iliyomalizika kwa matokeo ya Simba 1-5 Yanga. Siku hiyo Mzize hakufunga, bali ...
Buswita ambaye aliwahi kuitumikia Mbao, Yanga, Ruvu Shooting na Polisi Tanzania, alisema: “Kwa namna ambavyo msimu huu ulivyo mgumu unatoa picha ya jinsi ambavyo 2025/26 itakuwa ngumu zaidi na kila ...
Dar es Salaam. Sekta ya bima nchini inaendelea kushuhudia ukuaji mwaka hadi mwaka, huku bima ya vyombo vya moto ikiongoza kwa kuingiza mapato makubwa, ikifuatiwa na ya maisha, wakati ya afya ikishika ...
Mlima Meru ukionekana katika mandhari ya kuvutia Picha: Ramadhani Mvungi/DW Mbali na shughuli za kitamaduni, lakini pia wakazi wanaozunguka mlima huo wameweza kufaidika kwa shughuli za kilimo.