News

Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi nchini kutekeleza miradi kwa weledi na kwa kuzingatia ...
Ibada rasmi ya kuwekwa wakfu kwa Papa Leo wa XIV, papa wa kwanza kutoka Marekani, inaendelea katika Uwanja wa Mtakatifu Petro ...
Kutokana na mabadiliko ya maisha, yapo mambo mengi yanayoathiri ubora wa namna kina mama wanavyolea watoto wao.
Mabao mawili yaliyofungwa ndani ya dakika 15 za kwanza na RS Berkane katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la ...
Hata hivyo, kwa baadhi ya familia, kauli hiyo imekuwa kama “alama ya mwisho ya amani” kabla ya ndoa kusambaratika.
Watu wengi wanapofikiria zawadi, hufikiri kuhusu vitu vya thamani kubwa kama magari, simu, au mapambo ya bei ghali. Lakini ukweli ni kwamba, zawadi inaweza kuwa kitu chochote, hata kile kidogo kama ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehitimisha operesheni ya No reforms, no election ‘bila mabadiliko hakuna uchaguzi’ katika kanda za Victoria na Serengeti kikiwahimiza ...
Kifupi, Anti huyu mama ananichukia sana tena waziwazi na siku hizi ananinanga hata mbele za watu. Naapa sijajizuia kupata mimba ila hanielewi hata sijui nifanyeje?
Kikao hicho kitafanyika katika kipindi ambacho misukosuko inayoikumba Chadema, suala kujivua uanachama huenda likatawala ...
Mara ya mwisho kwa Palace kucheza fainali ya michuano hii ilikuwa msimu wa 2015-16 ambapo ilikutana na Man United na ...
Hakuridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu akakata rufaa Mahakama ya Rufani Tanzania, akiegemea sababu 19 kuishawishi mahakama ...
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na TIC hivi karibuni viwanda ndiyo sekta kinara kwa kuvuta uwekezaji ambapo zaidi ya Sh10.79 ...