News

Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang'oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho.
WALIOSHAURI na kupitisha kanuni ya kuwepo mechi za mchujo inawezekana walikuwa na nia nzuri lakini baada ya kijiwe kufanya ...
KUTOKANA na kitendo cha Yammi kuachana na The African Princess, lebo yake Nandy, kimemfanya mwanamuziki huyu kurejea katika ...
BAADA ya kukosa kuangalia utamu wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kwa wiki mbili, ligi hiyo itaendelea tena Julai ...
SIKU chache tu tangu aiwezeshe Yanga kubeba mataji mawili kwa mpigo kati ya matatu aliyotwaa tangu alipojiunga nayo Februari ...
LIGI Kuu Bara imemalizika kwa Yanga kutetea ubingwa kwa mara nyingine tena ikiwa ni msimu wa nne mfululizo, huku watani wao ...
MICHUANO ya Kombe la Dunia kwa klabu inayoendelea huko Marekani imefikia patamu ambapo sasa zimebakia timu nane zinazopambana ...
MABINGWA wa Kihistoria Yanga, kwa sasa imeanza hesabu mpya za kukisuka kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao, kwa nia ya ...
INAELEZWA straika wa Sporting Lisbon anayewindwa na Arsenal na Manchester United, Viktor Gyokeres ameachana na mpenzi wake ...
MASHABIKI wa Simba bado wanaendelea kutafakari namna chama lao lilivyoshindwa kufanya kweli katika michuano iliyoshiriki ...
BAADA ya kiungo wa zamani wa Simba, Thadeo Lwanga ‘Injinia’ aliyekuwa msomi wa chuo kikuu akiwa amehitimu Uhandisi wa ...
KOCHA wa zamani wa Yanga, Miguel Gamondi amerudi rasmi katika Ligi Kuu Bara baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa ...