News

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeanza mazungumzo na Benki ya Ushirika Tanzania ili itoe mikopo nafuu isiyo na riba kwa vikundi vya ushirika.