News

Chama cha ACT Wazalendo, kimeweka wazi msimamo wake kuwa, harakati na mikakati kinayoifanya hailengi kupambania nafasi ya ...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kujenga tabia ya kutembelea maeneo ...
Abiria 30 wamenusurika baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye korongo jirani na daraja la Ruvuma wilayani ...
Mamia ya wananchi wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kushiriki maziko ya watu watatu wa familia tatu tofauti ...
Katika kuunga mkono mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, Umoja wa Ulaya (EU) umetoa magari mawili kwa ...
Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania, Eunju Ahn amesema nchi yake iko tayari kushirikiana na Tanzania katika utekelezaji wa ...
Naikumbuka Novemba 27, 2015. Imesalia miezi minne na zaidi ya siku 23, itimie miaka 10. Siku hiyo, Waziri Mkuu, Kassim ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametajwa na kupongezwa na mawaziri wanaoshughulikia masuala ya ...
Raia wa Ubelgiji, Chiba Nkundabanyaka (45) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za kulevya aina cocaine zenye uzito wa kilo mbili.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaondoa wapigakura 3,352 kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kupoteza sifa.
Vikundi 32 vya wajasiriamali, maofisa usafirishaji na wakulima Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamenufaika na mkopo wa zaidi ...
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), imejipanga kuhakikisha inafikia lengo lililowekwa na Serikali la kuzalisha tani 700,000 za korosho kwa mwaka 2025/2026.