News

Kama umemuona kiungo Stephanie Aziz KI uwanjani leo akiichezea Yanga basi umebahatika kumtazama kwa mara ya mwisho kiungo ...
Mambo manne yametajwa kutishia uendelevu wa sekta ya nyuki nchini Tanzania, ikiwemo matumizi ya dawa za kuua wadudu katika kilimo yasiyozingatia kiwango kinachotakiwa.
Ukiachana na uwezo wake kiuongozi na hotuba yake iliyoakisi kiu kubwa ya Waafrika, sifa ya Tanzania kidiplomasia barani ...
Kocha, Ruben Amorim anafahamu wazi presha atakayokabiliana nayo endapo kama Manchester United haitanyakua taji la Europa ...
Ni suala la muda tu kabla ya Xabi Alonso hajathibitishwa kuwa kocha mpya wa Real Madrid baada ya mwenyewe kutangaza kuachana ...
Wanahisa wa Benki ya CRDB Plc wameidhinisha kwa kauli moja gawio la jumla la Sh170 bilioni, ambalo ni kubwa zaidi kuwahi ...
Udhaifu wa usimamizi wa sheria, rushwa kwa baadhi ya watendaji wa Serikali, ukosefu wa teknolojia ya kisasa ya ufuatiliaji, ...
Bunge la Bajeti linaendelea tena kesho, Machi 19, 2025 jijini Dodoma na mawaziri watatu wanatarajiwa kuwasilisha makadirio ya ...
Mahakama ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JKIA chini ya Hakimu Mkuu Irene Gichobi, imemuachia kwa dhamana mwanasiasa wa ...
Siku moja tangu apatikane Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, kata ya Muriet mkoani Arusha, Steven Jacob (35), aliyekuwa ametekwa na watu wasiojulikana, waumini ...
Madaktari bingwa kutoka barani Ulaya wameanza kuwajengea uwezo wataalamu wa afya nchini Tanzania mbinu za kutibu uvimbe ...