News

Baada ya bao la tatu la Fountain Gate lililofungwa dakika ya 82 na Mudrick Gonda katika mechi ya play off ya kwanza, ...
Fountain Gate imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand ...
MWANASPOTI limejiridhisha kwamba Kocha maarufu raia wa DR Congo, Florent Ibenge yupo Dar es Salaam. Kocha huyo mwenye ...
WAKATI Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikimpitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa urais wa ...
LONDON, ENGLAND: BEKI wa Arsenal, Takehiro Tomiyasu anaachana na klabu hiyo kwa makubaliano ya kusitisha mkataba wake.
NAHODHA wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta pamoja na mastaa zaidi ya 18 wa Simba, Yanga na timu nyingine za Ligi ...
KOCHA wa Juventus, Igor Tudor amefichua kwamba wachezaji 10 walimwomba kutoka uwanjani katika mechi yao ya kipigo kutoka kwa ...
BRENTFORD imetoa siku mbili kwa Manchester United na imekataa kushusha bei ya mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon, Bryan ...
MAISHA yana thamani gani? haijulikani. Diogo Jota ameondoka duniani kama upepo. Unaacha utajiri mkubwa, kipaji kikubwa, umri ...
BAADA ya kufanikiwa kubaki Ligi Kuu msimu ujao, benchi la ufundi la Tanzania Prisons limesema halitakurupuka kupangua kikosi, ...
Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang'oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho.
MENEJA wa Uwanja wa Sokoine, Modestus Mwaluka amesema licha ya rekodi aliyoweka ya kutofungwa kwa uwanja huo, ataendelea kuwa mkali kwa timu zinazotumia uwanja huo kwa ajili ya mazoezi.