News

MASTAA wenzake Diogo Jota wa sasa na zamani kwenye kikosi cha Liverpool wamewasili huko Ureno kwenda kuhudhuria maziko ya ...
Nyota wa Liverpool wakiwasili msibani kwa Diogo Jota pamoja na mdogo wake Andre Jota, waliofariki kwa ajali ya gari mapema ...
Baada ya bao la tatu la Fountain Gate lililofungwa dakika ya 82 na Mudrick Gonda katika mechi ya play off ya kwanza, ...
MWANASPOTI limejiridhisha kwamba Kocha maarufu raia wa DR Congo, Florent Ibenge yupo Dar es Salaam. Kocha huyo mwenye ...
Fountain Gate imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United kwenye mchezo uliojaza mashabiki wengi. Fountain imefika ...
WAKATI Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikimpitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa urais wa ...
MABOSI wa Simba katikati ya wiki walikutana kujadili mambo mbalimbali ikiwamo kupitia ripoti ya kocha Fadlu Davids ili kusuka ...
MEZANI kwa mabosi wa Yanga kwa sasa kuna majina mawili ya makocha wanaopigiwa hesabu, mmoja aje kuinoa timu hiyo kuziba ...
LIVERPOOL, ENGLAND: BARABARA iliyomuua Diogo Jota ni hatari sana na kumekuwa na ajali za kutisha, kwa mujibu wa maelezo ya ...
BEKI, Trent Alexander-Arnold ameambiwa asijidanganye kwamba amejihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza cha Real Madrid kwa sababu anayecheza nafasi hiyo ni mbishi.
WANASEMA mauti yamevikwa taji dhidi ya dua. Diogo Jota. Watu wamezungumza ya kuzungumza. Wamelia vya kutosha. Mkeo Rute ...
WADAU wa soka kimataifa hivi sasa mpango mzima ni kutazama mechi za fainali za Kombe la Dunia la Klabu 2025 zilizopo katika hatua ya robo fainali baada ya kumalizika kwa 16 Bora.