News

MENEJA wa Uwanja wa Sokoine, Modestus Mwaluka amesema licha ya rekodi aliyoweka ya kutofungwa kwa uwanja huo, ataendelea kuwa mkali kwa timu zinazotumia uwanja huo kwa ajili ya mazoezi.
Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang'oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho.
MAISHA yana thamani gani? haijulikani. Diogo Jota ameondoka duniani kama upepo. Unaacha utajiri mkubwa, kipaji kikubwa, umri ...
KOCHA wa zamani wa Yanga, Miguel Gamondi amerudi rasmi katika Ligi Kuu Bara baada ya kutangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa ...
MASHABIKI wa Simba bado wanaendelea kutafakari namna chama lao lilivyoshindwa kufanya kweli katika michuano iliyoshiriki ...
SIKU chache tu tangu aiwezeshe Yanga kubeba mataji mawili kwa mpigo kati ya matatu aliyotwaa tangu alipojiunga nayo Februari ...
MABINGWA wa Kihistoria Yanga, kwa sasa imeanza hesabu mpya za kukisuka kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao, kwa nia ya ...
TANZANIA tumepata bahati kubwa ya kuandaa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi ...
Baada ya kutokea taarifa ya majonzi kufuatia kifo cha mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota ...
KWA hapa Afrika, malisho bora zaidi ya kijani yapo katika klabu zinazopatikana Kaskazini mwa Afrika ambako mataifa yote ...
WALIOSHAURI na kupitisha kanuni ya kuwepo mechi za mchujo inawezekana walikuwa na nia nzuri lakini baada ya kijiwe kufanya ...
BAADA ya kiungo wa zamani wa Simba, Thadeo Lwanga ‘Injinia’ aliyekuwa msomi wa chuo kikuu akiwa amehitimu Uhandisi wa ...